Makamu Mwenyekiti wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' (kushoto) na mshambuliaji Mbaraka Yusuph (kulia) mchana huu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam tayari kwa safari ya Afrika Kusini kwa matibabu
Hapa wanapata mlo katika mgahawa ulio ndani ya Uwanja wa Ndege Julius Nyerere

0 comments:
Post a Comment