• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 21, 2017

  'KITIMU' CHA DARAJA LA KWANZA, CHAING'OA MAN UNITED CARABAO

  Refa Mike Dean akipuuza malalamiko ya beki Mholanzi wa  Manchester United, Daley Blind usiku wa Jumatano katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Ligi England dhidi ya wenyeji, timu ya Daraja la Kwanza, Bristol City Uwanja wa Ashton Gate. Bristol imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Joe Bryan dakika ya 51 na Korey Smith dakika ya 90 na ushei, wakati la United lilifungwa na Zlatan Ibrahimovic dakika ya 58 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'KITIMU' CHA DARAJA LA KWANZA, CHAING'OA MAN UNITED CARABAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top