• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 23, 2017

  GREEN WARRIORS NA SIMBA KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

  Mshambuliaji Simba, John Bocco akigombea mpira na beki wa Green Warriors, Cecil Efram katika mchezo wa hatua ya 64 Bora michuano ya Azam Sports Federation Cup usiku wa jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Green Warriors ilishinda kwa penalti 4-3 baada ya sare 4-3 
  Beki George Minja (kulia) akimtuliza John Bocco wakati wa kupigwa kwenye lango lao, huku kipa Shaaban Dihile akiwapanga mabeki wake kwa ujumla 
  Mshambuliaji kinda wa Simba, Moses Kitandu akiwatoka wachezaji wa Green Warriors
  Mohammed Hussein 'Tshabalala' akikimbilia mpira dhidi ya mchezaji wa Green Warriors 
  Kiungo wa Simba, Said Ndemla akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Green Warriors  
  Kiungo mkongwe Mwinyi Kazimoto akimuacha chini mchezaji wa Green Warriors
  Kiungo wa Green Warriors, Hassan Gumbo akimtoka beki wa Simba, Ally Shomary
  Winga wa Simba, Shiza Kichuya akiwatoka wachezaji wa Green Warriors
  Kikosi cha Green Warriors katika mchezo wa jana
  Kikosi cha Simba katika mchezo wa jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GREEN WARRIORS NA SIMBA KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top