• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 24, 2017

  RAIS KARIA ALIVYOWASHUHUDIA YANGA WAKIPETA KOMBE LA AZAM SPORTS

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (kushoto) na Mwenyekiti wa Chama cha Soka Dar es Salaam (DRFA), Almasi Kasongo wakifuatilia mchezo wa hatua ya 64 Bora michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) kati ya Yanga na Reha ya Temeke Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga imeshinda 2-0 na kusonga mbele   
  Lakini haukuwa ushindi mwepesi, kwani kipa wa Reha FC, Idrissa Ramadhani aliokoa vizuri hadi dakika ya 82 alipofungwa bao la kwanza na Pius Buswita na dakika ya 84 Amissi Tambwe
  Hamad Mteza, Katibu Mkuu Yanga, Charles Boniface Mkwasa (kulia) na Kamisaa wa mchezo wa leo, Hamad Mteza
  Mashabiki wa Yanga wakifurahia mabao yao ya jioni leio Uwanja wa Uhuru
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RAIS KARIA ALIVYOWASHUHUDIA YANGA WAKIPETA KOMBE LA AZAM SPORTS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top