• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 21, 2017

  MORATA HATACHEZA DHIDI YA EVERTON KISA KUSHANGILIA HIVI TU!

  Mshambuliaji Alvaro Morata akiwa ameweka mpira tumboni ndani ya jezi kushangilia baada ya kuifungia bao la pili Chelsea dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-1 dhidi ya AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup. Morata alifanya hivyo kwa sababu mkewe ni mja mzito, lakini akaonyeshwa kadi ya njano na ataukosa mchezo ujao dhidi ya Everton PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MORATA HATACHEZA DHIDI YA EVERTON KISA KUSHANGILIA HIVI TU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top