• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 23, 2017

  AGUERO AFUNGA MAWILI MAN CITY YAIBAMIZA 4-0 BOURNEMOUTH

  Sergio Aguero akiifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 27 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya AFC Bournemouth leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Aguero alifunga na la tatu dakika ya 79 na kufikisha mabao 100 katika timu hiyo wakati mabao mengine yalifungwa na Raheem Sterling dakika ya 53 na Danilo dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AGUERO AFUNGA MAWILI MAN CITY YAIBAMIZA 4-0 BOURNEMOUTH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top