Kipa David De Gea akiushuhudia mpira uliopigwa na Harry Maguire ukimpita na kujaa nyavuni kuipatia Leicester City bao la kusawazisha dakika ya nne ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida za mchezo wa Ligi Kuu ya England uliomalizika kwa sare ya 2-2 usiku wa Jumamosi Uwanja wa king Power. Bao lingine la Leicester limefungwa na Jamie Vardy dakika ya 27, wakati mabao ya Man United yamefungwa na Juan Mata yote dakika za 40 na 60 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
F1 Q&A: Is this season Norris' best chance to win title?
-
Is this Lando Norris' best shot at the title, and what is 'scrubbing'
tyres? BBC F1 correspondent Andrew Benson answers your questions after the
Azerbaijan...
58 minutes ago
0 comments:
Post a Comment