MWAMEJA ALIKUWA ‘TZ ONE’ LAKINI KUNA WAKATI ALIKUWA ‘ANAKAA MKEKA’ TAIFA STARS
Kipa namba moja nchini kwa muda mrefu miaka ya 1990, Mwameja Mohammed ‘Tanzania One’ akiitwa wakati huo akiwa ameketi benchi Uwanja wa Amaan, Zanzibar wakati wa moja ya mechi za timu ya taifa, Taifa Stars mwaka 1993
0 comments:
Post a Comment