• HABARI MPYA

  Jumatano, Desemba 27, 2017

  NGASSA ANAVYOFURAHIA MAISHA MTWARA NA NDANDA FC

  Kiungo mpya mshambuliaji wa Ndanda FC, Mrisho Khalfan Ngassa (kushoto) akifurahia na wachezaji wenzake wa timu hiyo katika ufukwe wa Bahari ya Hindi juzi baada ya mazoezi ya kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Simba SC Jumamosi Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NGASSA ANAVYOFURAHIA MAISHA MTWARA NA NDANDA FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top