• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 28, 2017

  NGOLO KANTE NDIYE MWANASOKA BORA UFARANSA 2017

  Kiungo wa Chelsea, N'Golo Kante akiwa ameshika tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Mwaka Ufaransa baada ya kuwashinda Kylian Mbappe wa Paris Saint-Germain aliyeshika nafasi ya pili na Karim Benzema wa Real Madrid aliyemaliza nafasi ya tatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NGOLO KANTE NDIYE MWANASOKA BORA UFARANSA 2017 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top