• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 28, 2017

  STERLING AFUNGA MAN CITY YASHINDA MECHI YA 18 MFULULIZO

  Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao pekee la ushindi dakika ya 30 akimalizia pasi ya Kevin De Bruyne wakiichapa 1-0 Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa St. James' Park na huo unakuwa mchezo wa 18 mfululizo timu ya Pep Guardiola inashinda katika Ligi Kuu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: STERLING AFUNGA MAN CITY YASHINDA MECHI YA 18 MFULULIZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top