NYOTA WALIOWIKA SIMBA WANAOMALIZIA SOKA YAO RANGERS
Wachezaji wa zamani wa Simba SC, kutoka kulia Shekhan Rashid, Haruna Moshi 'Boban', Amir Maftah na Said Sued wakijiandaa kwa mazoezi na timu yao ya sasa, Friends Rangers ya Daraja la Kwanza mjini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment