• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 21, 2017

  CHELSEA YAIBAMIZA BOURNEMOUTH 2-1 NA KWENDA NUSU FAINALI

  Kiungo Willian Borges da Silva akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 13 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya AFC Bournemouth usiku wa Jumatano Uwanja wa Stamford Bridge, London kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup. Bao la pili la Chelsea lilifungwa na Álvaro Morata dakika ya 90 na ushei, baada ya kiungo Dan Gosling kuisawazishia Bournemouth dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAIBAMIZA BOURNEMOUTH 2-1 NA KWENDA NUSU FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top