Beki wa Chelsea, Marcos Alonso akiwapigia saluti mashabiki Uwanja wa Stamford Bridge baada ya kufunga bao la pili dakika ya 60 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Bao la kwanza la The Blues limefungwa na Alvaro Morata dakika ya 46 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment