Mshambuliaji Harry Kane akishangilia baada ya kufunga hat-trick yake ya saba katika Ligi Kuu ya England katika ushindi wa Tottenham Hotspur wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Burnley usiku wa Jumamosi Uwanja wa Turf Moor. Kane alifunga mabao hayo dakika za saba kwa penalti, 69 na 79 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment