• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 30, 2017

  MAN UNITED YATOA SARE TENA, 0-0 NA SOUTHAMPTON

  Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba akifunga bao dakika ya 82 ambalo alifikiri lingekuwa la ushindi, lakini likakataliwa na refa kwa sababu alikuwa ameotea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Southampton Uwanja wa Old Trafford uliomalizika kwa sare ya 0-0 leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YATOA SARE TENA, 0-0 NA SOUTHAMPTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top