• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 23, 2017

  RONALDO ALIVYO FITI KWA EL CLASICO LEO SANTIAGO BERNABEU

  Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akifanya mazoezi kikamilifu na timu yake jana baada ya kufanya peke yake mazoezi mepesi Jumatano na Alhamisi kutokana na maumivu aliyoyapata kwenye fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia wakiifunga 1-0 Gremio mjini Abu Dhabi wiki iliyopita. Ronaldo sasa anatarajiwa kucheza dhidi ya Barcelona leo jiioni Uwanja wa Santiago Bernabeu katika mchezo wa La Liga PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO ALIVYO FITI KWA EL CLASICO LEO SANTIAGO BERNABEU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top