• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 30, 2017

  SALAH AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YAIBAMZIA LEICESTER CITY 2-1

  Mshambuliaji Mohamed 'Mo' Salah akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 52 na 76 Liverpool ikitoka nyuma kwa bao la Jamie Vardy aliyefunga dakika ya tatu na kushinda 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SALAH AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YAIBAMZIA LEICESTER CITY 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top