Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akipiga kichwa huku kipa wa Reha, Idrissa Ramadhani akiruka kuokoa katika mchezo wa hatua ya 64 Bora michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) Uwanja wa Uhuru mjini Sar es Salaam
Kiungo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi akifanya mambo adimu uwanjani jana
Beki wa Yanga, Gardiel Michael akimtoka Sylvanus Sostenes wa Reha
Kiungo wa Yanga, Raphael Daudi akipenyeza pasi jana
Kiungo 'fundi'na anayejituma wa Yanga, Pius Buswita akijaribu kumpita mchezaji wa Reha
Kiungo wa Yanga, Yussuf Mhilu akimiliki mpira mbele ya beki wa Reha, Zuberi Ubwa
Kiungo chipukizi mtaalamu wa Yanga, Mussa Said 'Ronaldo' akimpita beki wa Reha, Jaffar Athumani
Kocha Msaidizi wa Yanga, Nsajigwa Shadrack (kulia) akimpa maelekezo kiungo wake, Emmanuel Martin jana
Kikosi cha Yanga katika mchezo wa jana Uwanja wa Uhuru
Kikosi cha Reha FC katika mchezo wa jana
Mariners, Angels Involved in Benches-Clearing Brawl After Jesse Winker HBP
-
Some afternoon wrestling broke out during Sunday's baseball game between
the Los Angeles Angels and Seattle Mariners. Angels starting pitcher Andrew
Wantz ...
Dakika 12 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni