SAID MOHAMMED 'NDUDA' ALIYOANZA MAZOEZI YA GYM TARATIBU
Kipa wa Simba SC, Said Mohammed 'Nduda' aliyekuwa majeruhi tangu Agosti, mwishoni mwa wiki ameanza mazoezi ya gym taratibu katika jitihada za kurejea uwanjani Januari mwakani, kufuatia matibabu aliyopatiwa nchini India
0 comments:
Post a Comment