Mashabiki timu za Partizan na Red Star wakiwa vifua wazi wanavuja damu usiku wa jana Uwanja wa Partizana kwenye mechi ya ya Ligi Kuu ya Serbia baina ya mahasimu wa Jiji la Belgrade iliyomalizika kwa sare ya 1-1. Chanzo cha vurugu hizo ni mashabiki wageni kuuziwa tiketi za kwenda kuketi kwenye majukwaa ya wenyeji na ndipo wakaanza kupigana hadi Polisi kuingilia, huku watu wengi wakijeruhiwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Newcastle's Hall keen on Man Utd switch - Friday's gossip
-
Manchester United keen on wantaway Newcastle left-back Lewis Hall, Spanish
giants close in on Bernardo Silva, Real Madrid target Manchester City's
Josko Gv...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment