• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 23, 2017

  KAMA MACHO YANAONGEA, KATIBU WA TFF ALIKUWA ANASEMA NINI HAPA?

  Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidau akiwa haamini macho yake baada ya Green Warriors ya Daraja la Pili kuivua ubingwa wa Azam Sports Federation Cup Simba SC, timu aliyowahi kuichezea enzi zake kwa ushindi wa penalti 4-3 baada ya sare ya 1-1 ndani ya dakika 90 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam usiku wa jana  
  Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Said Tuliy akiwa mwenye huzuni jana Chamazi 
  Wapenzi wa Simba wakiwa hawaamini macho yao juu ya kilichotokea jana
  Shabiki huyu aliamua kupambana na hali yake kwa kujilazimisha kufurahi mbele ya kamera 
  Mabosi wa Azam TV, wadhamini wa michuano hiyo, Patrick Kahemele (kulia) ambaye pia ni Katibu wa zamani wa Simba na Yahya Mohmmed wakifuatilia mchezo huo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KAMA MACHO YANAONGEA, KATIBU WA TFF ALIKUWA ANASEMA NINI HAPA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top