Kocha wa Azam FC, Aristica Cioaba akifundisha kwa mifano wakati wa mazoezi ya timu yake jana mjini Njombe kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Njombe Mji FC Uwanja wa Aaba Saba
Mshambuliaji chipukizi, Mbaraka Yusuph akimiliki mpira wakati wa mazoezi hayo
Kiungo Mghana, Enock Atta-Agyei akimiliki mpira wakati wa mazoezi
Kiungo Frank Domayo akimiliki mpira wakati wa mazoezi hayo
Beki David Mwantika akimiliki mpira wakati wa mazoezi hayo
Wachezaji wa muda mrefu wa Azam, beki Aggrey Morris (kushoto) na kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' (kulia)
F1 Q&A: Is this season Norris' best chance to win title?
-
Is this Lando Norris' best shot at the title, and what is 'scrubbing'
tyres? BBC F1 correspondent Andrew Benson answers your questions after the
Azerbaijan...
48 minutes ago
0 comments:
Post a Comment