Kiungo chipukizi wa Arsenal, Reiss Nelson akimtoka mshambuliaji Mserbia wa Red Star Belgrade, Nemanja Radonjic (kushoto) katika mchezo wa Kundi H Europa League usiku wa jana Uwanja wa Emirates, timu hizo zikitoka sare ya bila kufungana. Pamoja na matokeo hayo, Arsenal imefuzu hatua ya mtoano kwa kufikisha pointi 10, ikiwazidi kwa pointi tano Crvena Zvezda zikiwa zimebaki mechi mbili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Injured O'Reilly withdraws from England squad
-
Nico O'Reilly withdraws from the England squad for their final two Nations
League games of the international break because of injury.
22 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment