• HABARI MPYA

  Sunday, October 08, 2017

  TAIFA STARS NA MALAWI KATIKA PICHA JANA UHURU

  Nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta (kulia) akimvisha kanzu beki wa Malawi, Linje Jabulani katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 0-0
  Winga wa Tanzania, Simon Msuva akimtoka beki wa Malawi, Chembezi Dennis 
  Mshambuliaji wa Tanzania, Mbaraka Yussuf (kulia) akimtoka beki wa Malawi, Gomezgab Chirwa
  Beki wa Taifa Stars, Gardiel Michael akitia krosi pembeni mbele ya beki wa Malawi
  Kikosi cha Taifa Stars katika mchezo wa jana 
  Kikosi cha Malawi kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Uhuru
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS NA MALAWI KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top