// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RONALDO ATOKEA BENCHI NA KUING'ARISHA URENO KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RONALDO ATOKEA BENCHI NA KUING'ARISHA URENO KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Sunday, October 08, 2017

  RONALDO ATOKEA BENCHI NA KUING'ARISHA URENO KOMBE LA DUNIA

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kutokea benchi na kuifungia Ureno bao la kwanza dakika ya 63 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Andorra usiku wa jana Uwanja wa Taifa mjini kwenye mchezo wa Kundi D kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi. Bao la pili la Ureno lilifungwa na 86 Andre Silva dakika ya 86 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO ATOKEA BENCHI NA KUING'ARISHA URENO KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top