• HABARI MPYA

  Sunday, October 08, 2017

  EUBANK JR AMLAZA USINGIZI MNONO MTURUKI RAUNDI YA TATU

  Bondia Chris Eubank Jr (kushoto) akimuangalia mpinzani wake, Mturuki Avni Yildirim aliyelala chini kulia baada ya kumuangusha raundi ya tatu tu katika pambano la kuwania ubingwa wa dunia wa IBO uzito wa Super Middle usiku wa jana kwenye ukumbi wa Hans-Martin-Schleyer Halle Jijini Stuttgart, Ujerumani
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EUBANK JR AMLAZA USINGIZI MNONO MTURUKI RAUNDI YA TATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top