• HABARI MPYA

  Sunday, October 08, 2017

  MATUIDI AFUNGA BAO PEKEE UFARANSA YAWAPIGA 1-0 BULGARIA

  Blaise Matuidi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Ufaransa bao pekee la ushidi dakika ya tatu tu ikiwalaza wenyeji Bulgaria 1-0 usiku wa jana katika mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi uliofanyika Uwanja wa Vasil Levski mjini Sofia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MATUIDI AFUNGA BAO PEKEE UFARANSA YAWAPIGA 1-0 BULGARIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top