• HABARI MPYA

  Saturday, October 07, 2017

  HISPANIA YAIFUMUA ALBANIA 3-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA

  Thiago Alcântara wa Hispania akiruka juu dhidi ya mabeki wa Albania kuifungia La Roja bao la tatu dakika 16 katika ushindi wa 3-0 kwenye mchezo wa Kundi G kufuzu la Dunia mwakani Urusi. Mabao mengine ya wenyeji yamefungwa na Rodrigo dakika ya 16 na Isco dakika ya 23 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HISPANIA YAIFUMUA ALBANIA 3-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top