Mratibu wa mpambano wa ngumi Jocktan Masasi (katikati) akiwainuwa mikono juu mabondia Mfaume Mfaume (kushoto) na Mohammed Matumla (kulia) wakati wa kutambulisha pambano lao la uzito wa Feather litakalofanyika Februari 2, mwaka huu Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment