Wachezaji wa Manchester City wakishangilia bao lao la nne katika ushindi wa 5-0 dhidi ya wenyeji West Ham United usiku wa jana kwenye mchezo wa Kombe la FA Raundi ya Tatu Uwanja wa London. Mabao ya City yalifungwa na Yaya Toure dakika ya 33 kwa penalti, Havard Nordtveit aliyejifunga dakika ya 41, David Silva dakika ya 43, Sergio Aguero dakika ya 50 na John Stones dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment