MAKIPA AZAM WALIVYOANDALIWA KWA AJILI YA SIMBA LEO
Kocha wa makipa wa Azam FC, Iddi Abubakar (katikati) akiwapa maelekezo vijana wake, Aishi Manula (kulia) na Mwadini Ali (kushoto) katika mazoezi ya jana kujiandaa na mchezo wa leo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Simba SC Saa 2:15 usiku Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment