Kiungo wa zamani wa Azam FC, Kipre Michael Balou (kushoto) akiwa na kiongozi wa Fanja, Hamoud Elsry baada ya kuwasili mjini Muscat, Oman kwa mipango ya kujiunga na klabu hiyo ya Ligi Kuu nchini humo. Ikumbukwe pacha wake, Kipre Herman Tchetche, wote raia wa Ivory Coast naye yuko Oman anachezea Al Suwaiq baada ya kuondoka Azam pia
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment