Kiungo wa Azam, Frank Domayo akimtoka kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 4-0
Kiungo wa Azam, Joseph Mahundi akijivuta kuwapita mabeki wa Yanga jana
Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akiwafunga tela wachezaji wa Yanga
Mshambuliaji wa Azam, John Bocco akimtoka beki wa Yanga, Andre Vincent 'Dante'
Mshambuliaji wa Azam, Samuel Afful akiwatoka wachezaji wa Yanga
Manahodha John Bocco wa Azam )kulia) na Haruna Niznyimza wa Yanga (kushoto) kabla ya mchezo wa jana
0 comments:
Post a Comment