Mjamaica Usain Bolt na Mhabeshi Almaz Ayana wakiwa wameshikilia tuzo zao za Wanariadha Bora wa kiume na wa kike wa Mwaka kutoka Shirikisho la Kimataifa la Riadha (IAAF) baada ya kukabidhiwa jana mjini Monaco, Ufaransa. Usain Bolt alitwaa Medali yake ya tisa ya Dhahabu ya Olimpiki baada ya kutwaa tena mjini Rio mwaka huu na sasa kijana huyo wa umri wa miaka 30 atastaafu mwakani baada ya michuano ya Dunia, akikimbia mbio za mita 100 na relay ya 4x100 katika msimu wake wa mwisho. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Long-delayed defence spending plan to be published on Tuesday
-
The defence investment plan will set out how billions will be spent on
equipping the UK Armed Forces.
51 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment