Kiungo wa Real Madrid, Mateo Kovacic akitelezea miguuni mwa mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi kuondosha mpira huku akisaidiwa na mchezaji mwenzake, Luka Modric kumdhibiti Muargentina huyo katika mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Camp Nou. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1, Barca wakitangulia kwa bao la Luis Suarez dakika ya 53 kabla ya Sergio Ramos kuisawazishia Real dakika ya mwisho katika mtanange wa El Clasico PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment