Mshambuliaji wa Porto FC, Andre Silva akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Leicester City usiku wa jana Uwanja wa Do Dragao mjini Porto katika mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao ya Porto yalifungwa na Andre Silva mawili dakika ya sita na 64 kwa penalti, Jesus Corona dakika ya 26, Yacine Brahimi dakika ya 44 na Diogo Jota dakika ya 77 na pamoja na kufungwa, Leicester imemaliza kileleni kwa pointi zake 13 dhidi ya 11 za vigogo wa Ureno PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment