Mshambuliaji Mfaransa wa Real Madrid, Karim Benzema akijipinda kupiga kichwa cha nguvu kuifungia timu yake bao kufuatia krosi ya James Rodriguez katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Borussia Dortmund usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu. Benzema alifunga mabao yote ya Real dakika za 28 na 53 wakati ya Borussia Dortmund yalifungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 60 na Marco Reus dakika ya 88 na kwa matokeo hayo, timu ya Ujerumani inamaliza kileleni kwa pointi zake 14 ikiizidi pointi mbili timu ya Hispania PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment