Nyota wa Bayern Munich, Robert Lewandowski akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili dakika za nane na 90 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji Mainz jana usiku kwenye mchezo wa Bundesliga. Bao lingine la Bayern Munich lilifungwa na Arjen Robben dakika ya 21, wakati la wenyeji lilifungwa na Jhon Cordoba dakika ya nne PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
6 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment