Mshambuliaji Kelechi Iheanacho (kulia) akipongezwa na wachezaji wenzake wa Manchester City, Leroy Sane na Nolito baada ya kufunga bao la kusawazisha dakika ya nane katika sare ya 1-1 na Celtic kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Patrick Roberts alianza kuwafungia Man City dakika ya nne na kwa matokeo hayo City inamaliza nafasi ya pili nyuma ya Barcelona na zote zinafuzu hatua ya mtoano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment