Kieran Gibbs (katikati), akiwa na shujaa wa mabao matatu ya Arsenal, Lucas Perez (kushoto) katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, FC Basle usiku wa jana Uwanja wa St. Jakob-Park mjini Basel kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Alex Iwobi, wakati la wenyeji lilifungwa na Seydou Doumbia na kwa matokeo hayo The Gunners wanamaliza kileleni kwa pointi zao 14, mbili zaidi ya PSG waliomaliza nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Against Liverpool it's a good idea to defend! Thomas Frank hits back at
critics who say he's obsessed with opponents
-
The Spurs boss hit back at critics who claim his team are more concerned
with stopping opponents than imposing their own style and warned it might
be a goo...
53 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment