Kutoka kushoto; Andres Iniesta, Lionel Messi na Paco Alcacer wakimpongeza mchezaji mwenye umri wa miaka 29, Arda Turan (katikati) baada ya kufunga mabao matatu katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Borussia Monchengladbach usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao lingine la Barca lilifungwa na Messi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment