Mbunge wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (kulia) amuelekeza baba yake na Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete juu ya eneo ambalo limepangwa kujengwa viwanja vya michezo kwa msaada wa serikali ya China. Wengine pichani ni Balozi wa China nchini Tanzania, Dk Lu Yong na Mhandisi Yang.
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwapa maelekezo wageni wake jana
Wananchi na viongozi waliojitokeza kumpokea Rais Mstaafu alipokuwa akiingia kwenye viwanja vya mwenge Msoga
Ukaguzi wa eneo la viwanja ukiendelea. Wa kwanza kushoto kwa Mbunge Ridhiwani ni Diwani wa kata ya Msoga na Afisa Tarafa
Mbunge Ridhiwani akitoa shukrani kwa Serikali ya China kwa msaada huo
Mbunge akizungumza na Balozi Dk. Yong juu ya mipango ya maendeleo ya michezo katika Halmashauri ya Chalinze
NBA Rumors: Execs Expect 'Active' Summer on Trade Market Due to New CBA
Restrictions
-
The upcoming NBA offseason is reportedly expected to be a busy one for
teams hoping to avoid penalties imposed on high-spending franchises by the
new…
12 minutes ago
0 comments:
Post a Comment