Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akishangilia na Cesc Fabregas baada ya kufunga bao pekee dakika ya 76 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya West Brom 1-0 mchana wa leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Chelsea inarejea kileleni kwa ushindi huo ikifikisha pointi 37, tatu zaidi ya Arsenal baada ya timu zote kucheza mechi 15 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Isak finally arrives as Gakpo proves value to Liverpool
-
Has the real Alexander Isak finally arrived at Liverpool after his two-goal
display in their Premier League win at Ipswich Town, asks chief football
writer...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment