BEKI WA JKT RUVU ALIVYOIFUNGULIA BIASHARA NZURI YANGA LEO
Beki wa JKT Ruvu, Michael Aidan Pius akimzidi winga wa Yanga, Deus Kaseke kuiwahi krosi ya Simon Msuva kuifungia timu ya Jangwani bao la kwanza katika ushindi wa 3-0 jioni ya leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Kaseke hakufanikiwa kuugusa mpira na Michael Aidan akajifunga kuifungulia biashara nzuri Yanga ya ushindi wa 3-0
Kaseke akiwa amemuangukia Michael Aidan aliyejaribu bila mafanikio kuuwahi mpira usiingie nyavuni
Recall Beta Edu
-
It has been all of two years and eight months since President Bola Tinubu
suspended Dr. Beta Edu from her plum job as Minister for Humanitarian
Affairs ...
0 comments:
Post a Comment