Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Coasta akipeana mikono na kocha wake, Mtaliano Antonio Conte baada ya kuifungia timu hiyo bao pekee la ushindi dakika ya 43 The Blues ikiilaza 1-0 Crystal Palace Uwanja wa Selhurst Park leo. Ushindi huo unaifanya Chelsea iongoze kwa pointi tisa zaidi kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
5 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment