Winga wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Enock Atta Agyei, akijaribu kuwatoka wachezaji wa Mtibwa Sugar, beki Salim Mbonde (pembeni) na winga Kelvin Friday wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Timu hizo zilitoka sare ya mabao 2-2. Mabao ya Azam yalifungwa na Waghana Enock Atta Agyei kwa penalti na Yahaya Mohammed, wakati ya Mtibwa yalifungwa na viungo Shaaban Nditi na Ibrahim Rajab ‘Jeba’
Mshambuliaji wa Azam FC, Yahaya Mohammed, akijaribu kumtoka kiungo wa Mtibwa Sugar, Henry Joseph
Nahodha wa Azam FC, John Bocco, akiambaa na mpira mbele ya wachezaji wa Mtibwa Sugar
Winga wa Azam FC, Samuel Afful, akimkimbiza beki wa Mtibwa Sugar, Hassan Mganga
Winga wa Azam FC, Joseph Mahundi, akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Mtibwa Sugar, Ally Shomari.
JMU at Oregon score, live updates: Follow College Football Playoff
first-round action
-
Can James Madison make it more than one-and-done as the biggest underdog of
the first round?
1 hour ago


.png)
0 comments:
Post a Comment