Pierre-Emerick Aubameyang (kulia) akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Borussia Dortmund bao la kusawazisha katika sare ya 2-2 na wenyeji, Hoffenheim usiku wa jana kwenye mchezo wa Bundesliga dakika ya 48 Uwanja wa Wirsol Rhein-Neckar-Arena mjini Sinsheim. Bao lingine Dortmund iliyocheza pungufu baada ya Marco Reus kuonyeshwa kadi ya pili ya njano na kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 41, lilifungwa na Mario Gotze dakika ya 11 wakati ya Hoffenheim yalifungwa na Mark Uth dakika ya tatu na Sandro Wagner dakika ya 20 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment