Mesut Ozil akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 49 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Stoke City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Theo Walcott dakika ya 42 na Alex Iwobi dakika ya 75, wakati la Stoke lilifungwa na Charlie Adam dakika ya 29 kwa penalti baada ya Granit Xhaka kumchezea rafu Joe Allen kwenye boksi matokeo hayo yanaipandisha kileleni The Gunners kwa kufikisha pointi 34 sawa na Chelsea yenye mechi moja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Messi becomes World Cup all-time leading scorer - how has he stayed at the
top?
-
As he becomes the top goalscorer in World Cup history, BBC Sport explores
how Lionel Messi is still delivering on the biggest stage in his late 30s.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment