Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Bayern Munich katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Atletico Madrid usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya. Pamoja na kufungwa, Atletico imeongoza kundi kwa pointi zake 15, ikifuatiwa na Bayern pointi 12 na zote zinafuzu hatua ya mtoano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
6 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment